Kuhusu Direct

Mbona Direct?

Direct ni huduma wazi ya kidijitali ya maudhui, inayotoa vifaa bora vya sauti na video, vya redio, televisheni na matumizi ya kidigitali. Tovuti hii hasa iliundwa kufikia washirika wa matangazo na washirika wa kidijitali wa Bodi ya Utangazaji ya Magavana (BUM). Mtandao wa kimataifa wa BUM ni pamoja na Sauti ya Marekani (SYM), Redio Huru ya Ulaya/Redio Huru (RHU/RU), Redio Huru ya Asia (RHA), Redio na Televisheni Marti na Mtandao wa Utangazaji wa Mashariki ya Kati (MUM) zikiwemo Alhurra na Redio Sawa.

Washirika waliosajiliwa wa redio na televisheni na washirika wa kidijitali wanaweza kupata na kutumia maudhui kutoka Direct kupanua programu zao kwa bure. Vichujio vinakuwezesha kupata maudhui haraka kwa kupenyesha utafutizi wako hadi kwa aina ya maudhui (sauti au video), lugha, tarehe, na huduma ya matangazo. Unaweza kutafuta, kuona, na kushusha Wavuti na kutangaza ubora wa sauti na mafurushi vya video kutoka kwenye kompyuta yako au simu za mkononi.

Kuanza kutafuta, kupakua na kutumia maudhui, jisajili kwenye Direct hapa.

You must be an approved affiliate in order to download our content.

Jisajili

Ya Hivi karibuni Kabisa